1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukuzaji wa miti na mazao mengine kaunti ya Trans-Nzoia

7 Mei 2021

Kilimo mseto kinachohusisha upandaji wa miti na mazao mengine kimekua kikitekelezwa nchini Kenya kwa muda sasa. Kaunti ya Trans -Nzoia ni mojawapo wa sehemu zinazofanya aina hii ya kilimo.Ungana na Bernard Maranga katika makala ya Mtu na Mazingira kuangazia umuhimu wa ukuzaji miti pamoja na mazao mengine.

https://p.dw.com/p/3t72j