You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi yathibitisha nia ya mazungumzo na Ukraine
Siku ya Jumamosi, Zelensky alipendekeza mkutano na Urusi ufanyike baadaye wiki hii.
Urusi: Tunatafari pendekezo la mazungumzo ya amani
Urusi imesema inashughulikia suala la tarehe ya kufanyika mazungumzo baada ya Ukraine kupendekeza mazungumzo mengine.
China yatishia kuchukuwa hatua dhidi ya vikwazo vya EU
Mkutano wa kilele kati ya Umoja wa Ulaya na China kufanyika siku ya Alhamisi
Makabiliano zaidi ya 100 na Urusi yaripotiwa Ukraine
Mapigano makali yameripotiwa katika mji wa Pokrovsk magharibi wa Donetsk.
Putin yuko tayari kwa makubaliano ya amani Ukraine
Peskov amesisitiza kuwa safari ya kufikia usitishaji wa mapigano Ukraine inahitaji uvumilivu na siyo rahisi.
Kremlin: Putin yuko tayari makubaliano ya amani Ukraine
Urusi imesema rais wa nchi hiyo Vladimir Putin yuko tayari kufikia makubaliano ya amani na Ukraine.
Kremlin: Putin yuko tayari kujadili mazungumzo ya amani
Rais wa Marekani Donald Trump ameipa Urusi siku 50 kukubaliana na mpango wa usitishaji mapigano au iwekewe vikwazo.
Urusi yaishambulia Ukraine kwa makombora 30 na droni 300
Urusi imesema imefanikiwa kudungua droni 13 zilizorushwa na Ukraine na kuelekezwa katika mji mkuu Moscow.
Kremlin: Vitisho vya Trump havizuii mazungumzo na Ukraine
Kremlin yasema vitisho vya Trump havizuii mazungumzo ya amani na Ukraine.
Urusi yapuuzilia mbali vikwazo vipya vya EU
Msemaji wa Ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov amesema watahitaji kuvitathmini kwanza vikwazo hivyo kupunguza madhara yake.
Umoja wa Ulaya waongeza vikwazo vipya Urusi
Umoja wa Ulaya umekubaliana kuanza awamu mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi.
EU yatangaza duru mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi
Umoja wa Ulaya unalenga kuongeza shinikizo dhidi ya Moscow kwa kupunguza mapato ya Urusi ya usafirishaji mafuta.
Svyrydenko aidhinishwa kuwa waziri mkuu mpya wa Ukraine
Baadae bunge hilo litawachagua wanachama wengine akiwemo waziri mpya wa ulinzi na mambo ya nchi za nje.
Marekani huenda ikaiwekea Urusi vikwazo ndani ya siku 50
Trump pia amesisitiza kuwa vikwazo hivyo vitawalenga hata wanunuzi wa bidhaa za Urusi.
Starmer, Merz kusaini mikataba ya ulinzi na biashara
Starmer na Merz wanataka kudhibiti uhamiaji haramau katika ujia wa bahari wa English Channel.
Kamanda wa NATO asema mifumo ya Patriot kupelekwa Ukraine
Urusi imezitungua droni 126 za Ukraine katika mashambulzi yaliyowajeruhi watu wanne.
Umoja wa Mataifa wataka haki mazungumzo ya amani ya Ukraine
Umoja wa Mataifa umesisitiza kuwepo haki kwa mazungumzo ya amani ya Ukraine.
Putin apuuza vitisho vya Trump, aapa kuendeleza vita Ukraine
Rais Vladmir Putin amedhamiria kuendelea na vita dhidi ya Ukraine licha ya vitisho vya vikwazo zaidi kutoka Washington.
Washirika ´kuimwagia´ Ukraine zana zaidi za kijeshi
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius amefanya ziara nchini Marekani kujadili msaada zaidi kwa Ukraine.
Zeleskyy amshukuru Trump kwa ahadi ya msaada wa kijeshi
Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amezungumza na Rais Donald Trump na kumshukuru kwa ahadi ya msaada wa kijeshi.
Kellog aitaka Urusi isitishe vita Ukraine
-
Rais Zelenskyy apongeza nia ya Marekani ya kuipatia msaada
Maafikiano ya amani bado hayajafikiwa kati ya Urusi na Ukraine na juhudi bado zinaendelea
Boris Pistorius afanya ziara fupi Marekani kuijadili Ukraine
Mazungumzo hayo yanafanyika baada ya Ujerumani kujitolea kuipa Ukraine mifumo ya ulinzi wa anga aina ya Patriot.
Urusi yasema itaendelea kuzungumza na Marekani
-
Marekani kuipatia Ukraine mifumo ya ulinzi ya Patriot
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kuwa Washington itaipatia Ukraine mifumo ya kisasa ya ulinzi aina ya Patriot.
Urusi: Tumekiteka kijiji kingine Ukraine
Urusi imebainisha kuwa imekiteka kijiji kingine magharibi mwa mkoa wa Donesk nchini Ukraine Jumapili 13.07.2025.
Katibu Mkuu wa NATO kufanya ziara ya siku mbili Marekani
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO Mark Rutte atafanya ziara ya siku mbili kuanzia kesho mjini Washington.
Korea Kaskazini yaahidi kuendelea kuiunga mkono Urusi
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesisitiza kuwa ataendelea kuiunga mkono Urusi katika vita dhidi ya Ukraine.
Lavrov akutana na mwenzake wa Korea Kaskazini
Wajumbe zaidi wa ngazi ya juu wanatarajiwa kufanya ziara Korea Kaskazini baadaye mwaka huu.
Mjumbe wa Marekani kwa Ukraine kuzuru Ukraine Jumatatu
Mjumbe Maalum wa Marekani kwa Ukraine, Keith Kellogg, anatarajiwa kuanza ziara yake ya kwanza nchini Ukraine Jumatatu.
Juhudi za kuvimaliza vita vya Ukraine zaendelea
Juhudi za kuutafutia suluhu mzozo huo zinaendelea.
Nchi za Ulaya zazindua mkutano wa kusaidia ujenzi wa Ukraine
Mkutano huo umefanyika wakati Urusi ikizidisha mashambulizi nchini Ukraine kwa usiku wa pili mfululizo.
Zelensky ahimiza misaada zaidi kwa ajili ya kuilinda Ukraine
Zelensky amesema Ukraine inahitaji silaha kwa ajili ya ulinzi wa anga yake
Marekani na Urusi zabadilishana mawazo mapya kuhusu Ukraine
Rubio asema Marekani na Urusi zimebadilishana mawazo mapya kuhusu mazungumzo ya amani ya Ukraine
Rubio afanya mazungumzo na Lavrov kuhusu vita vya Ukraine
Rubio ameeleza mazungumzo yake na Lavrov yaliyofanyika kando ya mkutano wa mawaziri wa ASEAN yalikuwa "wazi na muhimu.”
Ukraine yahimiza vikwazo vya haraka dhidi ya Urusi
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, na wa Urusi, Sergei Lavrov, watakutana nchini Malaysia
Urusi yaendesha wimbi jipya la mashambulizi nchini Ukraine
Zelensky awatolea wito washirika wake wa Magharibi kuzidisha vikwazo dhidi ya Urusi.
Rubio kukutana na Lavrov kando ya mkutano wa ASEAN, Malaysia
Mkutano wa kwanza kati ya wanadiplomasia hao wakuu ulifanyika Saudi Arabia mwezi Februari.
Urusi yapatikana na hatia ya ukiukaji wa haki Ukraine
Urusi yawajibishwa kwa mara ya kwanza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Ukraine.
Urusi yafanya mashambulizi makubwa zaidi ya droni Ukraine
Urusi imefanya mashambulizi makubwa nchini Ukraine na kuzidisha wasiwasi Kiev
Urusi yafanya shambulizi kubwa zaidi la droni nchini Ukraine
Rais wa Ukraine atoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuiwekea Urusi vikwazo zaidi.
Watu watatu wauawa Urusi kwa shambulio la Ukraine
Vita hivyo vya zaidi ya miaka mitatu mpaka sasa havionyeshi dalili zozote za kumalizika licha ya jitihada.
Macron aanza ziara ya siku tatu Uingereza
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya siku tatu nchini Uingereza ambapo kati ya mengi, atalihutubia bunge.
Marekani kupeleka 'silaha zaidi' Ukraine: Trump
Tangazo la Trump linajiri baada ya Washington kusema wiki iliyopita inasitisha baadhi ya shehena za silaha Kwenda Kyiv.
Trump: Marekani kuitumia silaha zaidi Ukraine
Rais Trump aliweka shinikizo na jitihada kubwa za kuvimaliza vita hivyo ingawa mpaka sasa bado hazijazaa matunda.
Mashambulizi ya Urusi yawajeruhi wengi Kharkiv
Hayo yanajiri wakati rais Volodymyr Zelenskiy akitoa wito wa msaada zaidi kutoka kwa washirika wa Ukraine.
Safari za anga Urusi zatatizwa na vita ya Ukraine
Urusi na Ukraine zimeendeleza mashambulizi makali ya droni hali iliyozua taharuki kwa safari za anga ya Urusi
Urusi yasema imedungua droni 8 zilizorushwa kutokea Ukraine
Magavana wa maeneo yaliyoshambuliwa wamesema uharibifu wa majengo haukuwa mkubwa.
Urusi yateka maeneo mawili zaidi mashariki mwa Ukraine
Jeshi la Urusi limesema limechukua udhibiti wa vijiji viwili mashariki mwa Ukraine cha Piddubne na Sobolivka.
Ukraine yadai kushambulia kambi ya kijeshi ya Urusi
Ukraine imedai kushambulia kambi ya kijeshi ya Urusi wakati Urusi ikiendelea kufanya mashambulizi makubwa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 18 wa 98
Ukurasa unaofuatia