1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukoma bado ni tatizo katika baadhi ya sehemu duniani

Daniel Gakuba
30 Januari 2023

Watu wengi wanadhani ukoma umetoweka duniani, lakini ukweli ni kwamba bado unawahangaisha mamilioni ya watu, huku kila mwaka visa vipya 100,000 vikiripotiwa. Sambamba na siku ya kupambana na ukoma duniani inayoadhimishwa Januari 29, katika vidio hii tunakuarifu juu ya yanayofanywa kupambana na gonjwa hili baya ambalo huvitafuna viungo vya binadamu.

https://p.dw.com/p/4Mrif