Ukatili wa kijinsia katika maeneo ya kazi bado upo. | Media Center | DW | 23.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ukatili wa kijinsia katika maeneo ya kazi bado upo.

Licha ya serikali ya Tanzania kuwa na mikakati ya kuhakikisha inatokomeza ukatili wa kijinsia na masuala ya rushwa ya ngono maeneo ya kazi bado kumekuwapo na changamoto kubwa katika jamii ya kuendelea kukumbwa na matukio hayo. Wanawake na maendeleo inaangalia hilo kwa jichola karibu.

Sikiliza sauti 09:45