Ujerumani kutengeneza magari yatakayostahimili changamoto za barabara mbovu Afrika | Media Center | DW | 27.06.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ujerumani kutengeneza magari yatakayostahimili changamoto za barabara mbovu Afrika

Kampuni moja Ujerumani imeanza kutengeneza magari ambayo yatakuwa na uwezo mkubwa wa kustahimili barabara mbovu za Afrika. Magari hayo kwa jina aCar tayari yanafanyiwa majaribio Ghana. Miongoni mwa sifa za magari hayo ni kuwa na mitambo ya sola kuongezea betri nguvu. Mengi zaidi ni kwenye Kurunzi Ujerumani

Tazama vidio 02:45