Uhusiano wa nchi za Afrika na Ujerumani ya Mashariki | Mada zote | DW | 02.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Uhusiano wa nchi za Afrika na Ujerumani ya Mashariki

Ujerumani ya Mashariki ilitafuta uhusiano na mataifa ya Kiafrika kama vile Angola, Ethiopia, Msumbiji na Tanzania. Lakini uhusiano ulimalizika baada ya kuungana tena Ujerumani ya Mashariki na Magharibi miaka 25 iliyopita