Uhuru wa kujieleza kupitia makatuni | Anza | DW | 12.08.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Uhuru wa kujieleza kupitia makatuni

Hamidou Zoetabi ni mchoraji katuni kwenye magazeti ya Burkina Faso anayeamini juu ya uhuru na mchango wa wachoraji katika kuiumba upya fikra ya kizazi cha Waburkinabe, hasa katika wakati ambapo taifa hilo linajizaa upya baada ya utawala wa kidikteta kuangushwa kwa mapinduzi ya umma.

Tazama vidio 03:07