1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhaba wa maji kushuhudiwa Tanzania?

Georges Njogopa
26 Oktoba 2022

Wakaazi wa jiji la Dar es salaam pamoja na mkoa wa Pwani nchini Tanzania wameanza kushuhudia adha ya mgao wa maji huku serikali ikisema hali hiyo imetokana na kushuka kwa kina cha maji katika vyanzo vya mto Ruvu. Kuna wasiwasi hali hiyo ya ukosefu wa maji huenda ikasambaa pia katika maeneo mengine nchini humo. George Njogopa alituletea taarifa hii.

https://p.dw.com/p/4IhJF