1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufahamu ugonjwa wa kifua kikuu

2 Aprili 2020

Katika makala ya Afya Yako Amina Abubakar anaangazia ugonjwa wa kifua kikuu ama Tuberculosis (TB). Anazungumza na wataalamu wa afya wanaoelezea ugonjwa huu unasababishwa na nini, dalili zake na jinsi unavyotibiwa.

https://p.dw.com/p/3aLaf