1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tunashindwa wapi kujali muda?

Bruce Alakonya/MMT17 Machi 2021

Suala la kuzingatia muda kwetu Afrika kidogo huwa ni changamoto. Utasikia nisubiri hapo nafika baada ya dakika mbili, unajikuta unasubiri masaa mawili. Kwani tatizo ni nini? Msikilize Bruce Amani anavyojadiliana na vijana kuhusu hili. Sikiliza makala hii ya Vijana Mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/3qjIa