1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump kuongoza Mkutano wa Baraza la Usalama la UN

Amina Mjahid
26 Septemba 2018

Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kuongoza kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, kinachotazamiwa kuzungumzia masuala ya Uharibifu wa silaha za Nyuklia, pamoja na silaha za kemikali.

https://p.dw.com/p/35Wo7