Timu ya wanawake ya Bayern Munich yashinda Bundesliga | Media Center | DW | 07.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Timu ya wanawake ya Bayern Munich yashinda Bundesliga

Timu ya wanawake ya Bayern Munich yashinda taji la Bundesliga na kumaliza utawala wa miake minne mfululizo wa Wolfsburg. Babu Abdalla anaangazia yaliyojiri viwanjani ikiwemo maandilizi ya mechi ya kirafiki kati ya timu ya taifa ya Tanzania na Malawi.

Sikiliza sauti 10:00