1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tiketi za yuro 49 zitaleta ahueni kwenye usafiri nchini Ujerumani?

Zainab Aziz
31 Mei 2023

Ujerumani imezindua tiketi mpya ya yuro 49 , baada ya muda ya malalamiko ya abiria ya bei kubwa za tiketi na changamoto nyinginezo. Kampuni ya reli ya Ujerumani nayo inapigania uhai wake, kwa njia ya kupunguza nauli. Je, uzinduzi wa tiketi hii uliofanywa na kampuni ya Deutsche Bahn imeleta suluhu ya mashaka yaliyopo? Sikiliza makala ya Sura ya Ujerumani kwa mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/4S1Ng