1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Teknolojia ya akili za kompyuta yaingia Afrika

Yusra Buwayhid
16 Aprili 2019

Google imefungua maabara yake ya kwanza barani Afrika ya kile kiitwacho 'artificial intelligence' ambayo ni teknolojia inayoiwezesha mashine kama vile kompyuta kufanya maamuzi sawa na ubongo wa binaadamu. Lakini vipi teknolojia hiyo inaweza kumnufaisha Mwafrika katika maisha ya kila siku?

https://p.dw.com/p/3Gtlu