Teknohama kuboresha utunzaji wa data za kitabibu Gabon | Anza | DW | 10.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Teknohama kuboresha utunzaji wa data za kitabibu Gabon

Aliposhindwa kupata ajira, Fabrice Yonawah aliamua kutumia ubunifu wake. Alitumia taaluma yake ya teknolojia ya mawasiliano kutengeneza program ya kompyuta ambayo inarahisisha utunzaji wa data na mawasiliano miongoni mwa hospitali nchini Gabon.

Tazama vidio 02:53