Tanzania: Wajumbe wa UKAWA wasusia kikao bungeni | Matukio ya Afrika | DW | 17.04.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Tanzania: Wajumbe wa UKAWA wasusia kikao bungeni

Matumaini ya kupatikana katiba mpya nchini Tanzania yameelezwa kuwa ni madogo kutokana na mvutano uliopo baina ya wajumbe wa bunge maalumu la katiba mjini Dodoma.

Hali hii ilisababisha hapo jana wajumbe wa umoja wa UKAWA ambao wengi wao ni kutoka vyama vya upinzani kususia kikao cha bunge. Anuary Mkama amezungumza na Professa mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chris Maina Peter ambaye kwanza anazungumzia tukio la jana. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Anuary Mkama
Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada