1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Ulimwengu Septemba 6, 2021 asubuhi

V2 / S12S6 Septemba 2021

Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na nchi nyingine zashutumu mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika jana nchini Guinea.// Mkuu wa misaada ya kiutu wa Umoja wa Mataifa Griffiths akutana na viongozi wa Taliban Kabul.// Mechi ya kufuzu katika Kombe la Dunia kati ya Brazil na Argentina yasitishwa kufuatia utata wa ukiukaji masharti ya kudhibiti virusi vya corona.

https://p.dw.com/p/3zxEP