1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za asubuhi Septemba 7, 2021

V2 / S12S7 Septemba 2021

Kiongozi wa mapinduzi nchini Guinea aahidi kuunda serikali ya umoja wa kitaifa huku akiwapiga marufuku mawaziri na wanasiasa wa Conde kusafiri nje ya nchi.// Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken akutana na mfalme wa Qatar kwa mazungumzo kuhusu Afghanistan.// Ujerumani yainyooshea kidole cha lawama Urusi kwa udukuzi kuelekea uchaguzi.

https://p.dw.com/p/4005o