1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi: 6.06.2020

6 Juni 2020

Ripoti ya shirika la Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) yasema Iran imekusanya madini ya urani karibu mara nane ya kiwango kilichowekwa katika mkataba wa mwaka 2015, jeshi la Ufaransa lamuuwa kiongozi wa kundi la Al-Qaeda katika eneo la kiislamu la Maghreb(AQIM), Abdelmalek Droukdel na shirika la afya duniani WHO labadili msimamo wake kuhusu barakoa

https://p.dw.com/p/3dKpT