1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 23.06.2021

V2 / S12S23 Juni 2021

Wauaji wa mwandishi habari wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi walipata mafunzo ya kijeshi Marekani. Umoja wa Mataifa walitaka kundi la Taliban na serikali ya Afhanistan kurudi kwenye mazungumzo. Na katika michuano ya mataifa ya Ulaya Uingereza yaifunga Jamhuri ya Czech na Scotland yarejeshwa nyumbani na Croatia.

https://p.dw.com/p/3vOtI