1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 13.11.20

V2 / S12S13 Novemba 2020

Maambukizi ya corona yaonekana kupungua Ujerumani na Ufaransa. Shirika la Amnesty International lasema mauaji ya watu wengi yaripotiwa jimbo la Tigray huko Ethiopia. Na, Wahamiaji 74 wazama pwani ya Libya baada ya boti kuzama.

https://p.dw.com/p/3lDvU