1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 10.11.2018

Yusra Buwayhid
10 Novemba 2018

Ujerumani yakumbuka miaka 80 ya mauaji ya Wayahudi. Umoja wa Mataifa wasema raia 445, 000 wa Yemen waukimbia mji wa bandari wa Hodeida. Na, Viongozi wa Somalia na Erirea wakutana Ethiopia kwa mazungumzo ya kikanda.

https://p.dw.com/p/380L9