1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 07.07.2021

7 Julai 2021

Marekani yaonya uchokozi wa Iran unahatarisha mazungumzo ya nyuklia/ Serikali ya Afghanistan yaapa kupambana na kundi la wanamgambo wa Taliban/ Umoja wa Mataifa yaonyesha wasiwasi juu ya ghasia Eswatini/ Italia yatinga fainali ya Euro baada ya kuifunga Uhispania 4-2 kupitia mikwaju ya penalti.

https://p.dw.com/p/3w8HG