1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 23.01.2019

Sylvia Mwehozi
23 Januari 2019

Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza asisitiza haja ya kufanyika kura ya pili ya maoni. Umoja wa Ulaya na ule wa Afrika ziko tayari kufanya kazi na Tshisekedi. Rais wa Uturuki Reccep Tayyip Erdogan kukutana na rais Vladmir Putin kwa mazungumzo juu ya Syria.

https://p.dw.com/p/3C01m