1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Tony Blair

Tony Blair ni mwanasiasa wa Uingereza. Alikiongoza chama cha Labour kuanzia mwaka 1994 hadi 2007 na alikuwa waziri mkuu wa Uingereza kuanzia 1997 hadi 2007.

Chini ya Blair, Labour kilizindua vuruguvugu la "New Labour" au "Labour Mpya" kuakisi mwelekeo wa mkakati mpya unaozingatia msimamo wa kati na rafiki kwa biashara. Akiwa waziri mkuu, alisaidia kajadili amani na Ireland ya Kaskazini. Alikosolewa vikali kwa kuipeleka Uingereza katika vita nchini Iraq na Afghanistan. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Blair.

Onesha makala zaidi