1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 11.02.2019

Sylvia Mwehozi
11 Februari 2019

Nchi nyingi zinasema Mabadiliko ya tabia nchi ni kitisho kikubwa cha dunia. Uwezekano wa Uingereza kuondoka Umoja wa Ulaya bila ya makubaliano, unaweza kuathiri ajira zaidi ya 100,000 nchini Ujerumani. Maelfu waandamana Uhispania wakitaka Sanchez ajiuzulu.

https://p.dw.com/p/3D6lz