1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 08.08.2022

Sylvia Mwehozi
8 Agosti 2022

Makubaliano ya usitishaji mapigano baina ya Israel na wanamgambo wa Palestina yaanza kutekelezwa usiku wa kuamkia leo. Kenya yakamilisha kampeni za uchaguzi. Na Meli nne zaidi zilizobeba nafaka zaondoka katika bandari za Ukraine.

https://p.dw.com/p/4FEtZ