1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 02.09.2019

Sylvia Mwehozi
2 Septemba 2019

Vyama vya CDU, SPD vyapata ushindi katika chaguzi za Mashariki mwa Ujerumani licha ya kupoteza umaarufu wake. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres autembelea mji wa Beni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Mashambulizi yaliyofanywa na muungano wa kijeshi ukiongozwa na Saudia umewaua wafungwa zaidi ya 100 huko Yemen.

https://p.dw.com/p/3Orex