1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

31 Oktoba 2020

Tume ya uchaguzi Tanzania yamtangaza John Pombe Magufuli kuwa rais kwa muhula wa pili//Watu 17 wafariki dunia Ugiriki baada ya tetemeko kubwa la ardhi katika mji wa magharibi mwa nchi hiyo//Na Joe Biden na Donald Trump watafuta kura za mwisho kuelekea uchaguzi wa Jumanne huko Marekani.

https://p.dw.com/p/3kgNs