1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari Asubuhi tarehe 15.10.2021

V2 / S12S15 Oktoba 2021

Rais Biden akutana na Rais Kenyatta na kuahidi msaada wa dozi milioni 17 ya corona kwa Afrika. // Watu wasiopungua sita wauawa Beirut kufuatia machafuko y aufyatuliaji risasi. // Umoja wa Mataifa wasema idadi ya watoto wanaokabiliwa na utapia mlo Tigray imeongezeka maradufu.

https://p.dw.com/p/41hvo