VIDOKEZO: Wataalam wasifia dawa aina ya Steroid dexamethasone kuwa hatua kubwa katika kutibu COVID-19. // Korea Kaskazini yatishia kupeleka jeshi katika eneo lisilo la shughuli za kijeshi kati yao na Korea Kusini.// Jeshi la India lasema wanajeshi wake 20 wameuawa kwenye makabiliano na China mpakani