Makala ya Kinagaubaga, inaangazia tasnia ya utungaji, uandishi na uchapishaji wa vitabu hasa kwa lugha ya Kiswahili. Je tasnia hii imepiga hatua kwa kiwango gani? Changamoto zake? Sudi Mnette anamshirikisha Profesa Said Ahmed Mohamed kuyajadili hayo kwa kina.