1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Syria

Jamhuri ya Kiarabu ya Syria ni nchi iliyoko Magharibi mwa Asia. Jina la Syria kwa lugha ya Kiingereza, linafananishwa na jina la zaman la Sham.

Taifa la sasa la Syria linajumlisha maeneo kadhaa ya falme na himaya kadhaa za kale, ukiwemo ustaarabu wa Eblan wa milenia ya tatu kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo. Mji wake mkuu Damascus, ni mmoja ya miji ya kale inayoednelea kuishi watu duniani hadi wakati huu. Wakati wa zama za Uislamu, Damscus ndiyo yalikuwa makuu ya himaya ya Umayyad, na makao makuu ya utawala wa Mamluk nchini Misri.

Onesha makala zaidi