1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

'Streaming' mtandaoni inawaathiri vipi vijana?

Sylvia Mwehozi28 Agosti 2019

Je inawezekana kizazi cha sasa kisifahamu mikanda ya vidio ambayo wengi tuliitazama kutumia teknolojia ya zamani ya VHS kisha ikafuatiwa na DVD ambazo nazo zilipata umaarufu wake lakini sasa nazo zinasauhalika taratibu? Kizazi cha sasa kimeegemea zaidi katika urushwaji wa moja kwa moja wa maudhui mtandaoni yani streaming. Sylvia Mwehozi anaangazia hayo kwenye makala ya Sema Uvume.

https://p.dw.com/p/3ObnP