Somalia mpya bado ina kazi pevu | Masuala ya Jamii | DW | 24.09.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Somalia mpya bado ina kazi pevu

Licha ya wabunge wa Somalia kumchagua rais mpya wa nchi hiyo na kuelekea kumaliza rasmi kipindi cha mpito na kujenga taifa imara katika Pembe ya Afrika, ukweli ulio wazi ni kwamba bad nchi hiyo ingali na safari refu.

Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia.

Hassan Sheikh Mohamud

Mohammed Abdulrahman anajadili mustakabali wa Somalia mpya chini ya rais mpya, Hassan Sheikh Mohamud. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Mohammed Abdulrahman
Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com