Siku ya pili ya upigaji kura | Matukio ya Kisiasa | DW | 26.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Siku ya pili ya upigaji kura

Baadhi ya vituo vilivyoshindwa kupiga kura hapo jana hivi leo vinaendelea na zoezi hilo huku wananchi wakiwa katika hali ya utulivu mkubwa. Kutoka Dar es salaam, George Njogopa anaarifu zaidi

Sikiliza sauti 03:03

Msikilize George Njogopa akikupa taarifa za siku ya pili ya upigaji kura

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com