Siku 100 za mauaji ya kimbari nchini Rwanda | Mada zote | DW | 09.04.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Siku 100 za mauaji ya kimbari nchini Rwanda

Rwanda inafanya kumbukumbu ya miaka 25 tangu kutokea mauaji ya kimbari ya mwaka 1994. Mauaji hayo bado yanaendelea kuushtua ulimwengu hadi hii leo. Jamii ya kimataifa ilisubiri muda mrefu kusikia kilio cha wahanga.