1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Sigmar Gabriel

Sigmar Gabriel ni waziri wa uchumi na nishati wa Ujerumani, pia ni mwenyekiti wa chama cha kisiasa cha Social Democrat (SPD). Ni naibu wa kansela wa Ujerumani Angela Merkel, wa serikali ya shirikisho la Ujerumani.

Sigmar Gabriel alizaliwa mwaka 1959, na aliwahi kuwa mwalimu kabla ya kuingia katika siasa. Kuanzia mwaka 2005 hadi 2009 alikuwa Waziri wa Mazingira ndani ya baraza la mwanzo la mawaziri la kansela Angela Merkel. Mwaka 2009 alichukua uongozi wa chama cha kisiasa cha Social Democrat.

Onesha makala zaidi