1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sheria mpya za uchaguzi nchini Tanzania

Zainab Aziz
9 Februari 2024

Zainab Aziz amewakaribisha kwenye kipindi cha Maoni mbele ya meza duara wachambuzi wa siasa na wataalamu wengine kuchambua sheria mpya za masuala ya uchaguzi na uendeshaji vyama vya siasa nchini Tanzania zilizopitishwa bungeni hivi karibuni. Sikiliza mjadala huo.

https://p.dw.com/p/4cEc0