JamiiSerikali ya Angola inavyokabiliana na muziki wenye ukosoajiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiLilian Mtono15.08.201715 Agosti 2017Mwanamuziki wa Angola MCK mara zote hujikuta akikwaruzana na serikali. Si kwa sababu ni muhuni, bali ni kutokana na mashairi yake kuikosoa serikali. Eduardo dos Santos ametawala Angola tangu mwaka 1979 na yoyote anayempinga huingia matatani.https://p.dw.com/p/2iHITMatangazo