Sema Uvume na Smartphones za Afrika | Matukio ya Afrika | DW | 28.01.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Sema Uvume na Smartphones za Afrika

Katika makala ya Sema Uvume Yusra Buwayhid anaangazia kampuni ya Mara ya Dubai iliyoanza kutengeneza simu za kisasa barani Afrika. Zitaweza kushindana na zile kutoka China?

Sikiliza sauti 09:45