1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
TeknolojiaAfrika Kusini

Harakati za kupambana na habari za uongo

Angela Mdungu
27 Septemba 2023

Makala ya Sema uvume, leo inaangazia juhudi za kupambana na habari za uongo zinazofanywa kupitia gazeti la Whatsapp lililobuniwa na Simon Allison huko Johannesburg, Afrika ya Kusini na pia itatupia jicho harakati za kupambana na tatizo hilo zilipofikia huko nchini Tanzania. Mtayarishaji wa makala haya ni Angela Mdungu.

https://p.dw.com/p/4WrFI