1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume: App ya kuwasafirisha abiria

22 Machi 2022

Katika miji mingi kwa upande wa Afrika mashariki kuna muda maalum ambapo vyombo vya usafiri kwa umma hufanya kazi, lakini kuna wakati unaweza kupata dharura na wakati huo usipate usafiri. Katika makala hii ya sema Uvume tunaitazama app ya Twenzao inayomruhusu mwenye gari kuandikisha safari yake ili kutafuta abiria.

https://p.dw.com/p/48qVq