SAO PAULO.Mama aliyemwuua mtu aliyembaka mwanawe achiwa huru | Habari za Ulimwengu | DW | 15.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

SAO PAULO.Mama aliyemwuua mtu aliyembaka mwanawe achiwa huru

Mama mmoja aliemwuuwa mtu aliembaka mtoto wake wa kiume ameachiwa huru nchini Brazil.

Mahakama ya mjini Sao Paulo imepitisha uamuzi huo kwa kueleza kwamba mwanamke huyo bibi Maria do Carmo Ghislotti alimwuua mbakaji huyo ili kutetea haki ya mwanawe mwenye umri wa miaka mitatu.

Bibi Maria Ghilotti alimwuuwa mhalifu huyo kwa kutumia sime.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com