Rwanda yapiga hatua vita dhidi ya ufisadiMjahida 09.12.20159 Desemba 2015Wachambuzi wanasema mafanikio ya Rwanda kwenye vita dhidi ya ufisadi yanatokana na kuwa na ushiriki wa moja wa moja wa taasisi kuu za utawala badala ya kuwa vita vya makundi ya kisiasa yenye maslahi tu ya kisiasa.https://p.dw.com/p/1HKeKPicha: picture-alliance/AP Photo/S. SenneMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio