Rome. Pope atimiza miaka 80. | Habari za Ulimwengu | DW | 17.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Rome. Pope atimiza miaka 80.

Pope Benedict ametimiza miaka 80 na sherehe za kuzaliwa kwake zilisherehekewa mjini Rome na katika mji alikozaliwa wa Markl katika jimbo la Bavaria nchini Ujerumani. Katika makao makuu ya kiongozi huyo wa kanisa Katoliki mjini Vatican , Benedict alikula chakula la makadinali 50 wa Kikatoliki na kukutana na watu waliokuwa wakimtakia kheri, ikwa ni pamoja na wanasiasa kadha waliomtembelea kutoka Ujerumani na mwakilishi wa Bartholomew 1, ambae ni kiongozi wa kidini wa Wakristo wa madhehebu ya Orthodox.

Ratiba ya jioni ya Pope ilikuwa ni pamoja na kuziki katika makao yake ya Vatican ulioporomoshwa na Symphony Orchestre kutoka Stuttgart.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com