Rais wa Tanzania Samia Suluhu awakosha wakenya katika ziara yake ya kwanza nchini Kenya | Media Center | DW | 07.05.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Rais wa Tanzania Samia Suluhu awakosha wakenya katika ziara yake ya kwanza nchini Kenya

Afrika wiki hii imeyadurusu yaliyojitokeza wiki nzima barani Afrika na miongoni mwao ni ziara ya rais wa Tanzania nchini Kenya Samia Suluhu iliyowasisimuwa wenyeji wake. Mahakama ya kimataifa inayoshughulikia kesi za uhalifui wa kivita ICC yamuhukumu miaka 25 jela kamanda wa zamani wa LRA Dominic Ongwen,na Jeshi la DRC lapewa mamlaka ya kuzingira Kivu kaskazini na Ituri.Ungana na Saumu Mwasimba

Sikiliza sauti 20:03