1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baraza jipya la rais Samia lawatetemesha watanzania

1 Aprili 2021

Katika Afrika wiki hii utasikia kuhusu uteuzi wa baraza jipya la mawaziri uliofanywa na rais wa nchi hiyo Samia Suluhu na hali ya nchini Msumbiji inazidi kutia mashaka Umoja wa Afrika wahimiza juhudi kubwa zichukuliwe kudhibiti mashambulizi kaskazini mwa nchi hiyo na Umoja wa Mataifa wawashinikiza viongozi wa Somalia wamalize mivutano na kuandaa uchaguzi. Ungana na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/3rVIT