Raia 32,000 wa Sudan Kusini wakimbia ukame nchini mwao | Media Center | DW | 27.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Raia 32,000 wa Sudan Kusini wakimbia ukame nchini mwao

Shirika la kuwahudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR lasema raia wapatao 32,000 wa Sudan Kusini wakimbia ukame nchini mwao; Filamu ya Moonlight yashinda Filamu Bora katika tuzo za Oscar; na Vikosi vya Iraq vyazidi kusonga mbele Mosul katika mapambano na IS. Papo kwa Papo 27.02.2017

Tazama vidio 01:54
Sasa moja kwa moja
dakika (0)