1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papa Francis apokelewa kwa shangwe Kenya

25 Novemba 2015

Watu wengi walijitokeza kumlaki kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani katika uwanja wa kimataifa wa ndege Jomo Kenyatta mjini Nairobi. Bendera za Kenya na Vaitcan zimeonekana zikipepea kote mjini.

https://p.dw.com/p/1HCUx
Kenia, Papst Franziskus besucht Kenia
Picha: Reuters/G. Tomasevic

[No title]